» » Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba, R.I.P Mchekeshaji Kundambanda

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

July 22 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa vichekesho nchini zikionyesha taarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania,  Ismail Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’ kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show. Taarifa za awali zinadai kuwa amefariki akiwa nyumbani kwao Masasi, Mtwara, endelea kuwa karibu na mzalendohuru.com kwa taarifa zaidi.


ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post