» » Mimi ndio ninayechelewesha kolabo na Diamond ...asema Ben Pol

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Hit maker wa ‘Moyo Mashine’ Ben Pol amesema tayari ameshazungumza na uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kufanya kolabo na staa huyo wa wimbo ‘Utanipenda’.

Akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Ben Pol amesema muda wowote kuanzia sasa anaweza kuingia studio na staa huyo.

“Nataka kufanya kazi na Diamond na nimeshaongea nao ila mimi ndo nachelewesha hii kazi,” alisema Ben Pol.

Muimbaji huyo ambaye ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao wanafanya vizuri kimataifa, Jumapili hii atakuwa na ‘Moyo Mashine Night’ itayofanyika Maisha Masement.b
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post