» » Jurgen Klopp kubaki Liverpool hadi 2022

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amesaini mkataba mpya wa miaka sita kuendelea kuifunza klabu hiyo.

Klopp alijiunga na Liverpool mwezi Oktoba, baada ya kukubali mkataba wa pauni milioni 15 ambao umeongezwa hadi mwaka 2022.

Mmiliki wa klabu hiyo alisema uongozi wake utatatoa umuhimu sana kwake katika kufanikisha malengo yao.

Klopp aliifikisha Liverpool katika fainali ya Kombe la Ligi pamoja na fainali ya Ligi ya Europa msimu uliopita.

Raia huyo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 49 aliisaidia Borussia Dortmund kushinda mataji mawili ya Bundesliga pamoja na kucheza fainali ya Vilabu Bingwa Ulaya 2013.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post