Mfanya Biashara EVARIST GERVAS achangia madawati 240 katika shule 3 za kata ya Nyarugusu Wilayani Geita moja kati ya shule hizo Bwana EVARIST GERVAS alisoma hapo. pia alikuwepo Mkurugenzi wa Wilaya ya Geita ALLY KIGWAKA na Afisa elimu Msingi wa Wilaya ya Geita. Shule zilizopewa madawati hayo ni Shule ya Msingi Zahanati Madawati 100, Shule ya Msingi Ziwani madawati 70 na Shule ya Msingi Nyarugusu madawati 70..
Pia Bwana EVARIST GERVAS aliwahi kujenga Madarasa mawili pamoja na ofisi ya mwalimu mkuu katika Shule ya msingi Nyarugusu mwaka 2013 na mwaka 2014 alichangia madawati 90 katika Shule hiyo ya Nyarugusu... M/mungu akuzidishie Moyo huo wakujitole Bwana EVARIST GERVAS..