Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko
Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani wa
Kilindi sasa yatafanyika kesho siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio
leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.
Mazishi yatafanyika kesho saa tisa alasiri pale pale eneo la Olerian jijini Arusha.
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
AMEN
Mazishi yatafanyika kesho saa tisa alasiri pale pale eneo la Olerian jijini Arusha.
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
AMEN
