» » Kala Jeremiah atamani kuwa baba mchungaji

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Jeremiah Masanja ‘Kala Jeremiah’

MSANII wa miondoko ya hip hop, Jeremiah Masanja ‘Kala Jeremiah’, ameweka wazi kwamba kama asingekuwa msanii angekuwa mchungaji kwa kuwa anaipenda kazi hiyo kwa muda mrefu.

Akizungumza na MTANZANIA jana,  Kala alisema siku zote hupendelea kufanya kazi inayosaidia jamii ndiyo maana mashairi yake yanailenga jamii na kufundisha.

“Awali nilikuwa na ndoto ya kuwa baba mchungaji lakini hapo baadaye nilibadilisha na kuingia katika muziki wa kizazi kipya, kazi ambayo naifanya hadi leo,” alisema msanii huyo anayetamba na video ya ‘Malkia’.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post