» » Halmashauri yawasaka wafanyabiashara wakubwa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Tarime. Ofisa Biashara wa Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara, Charles Lawrence amesema wanafanya jitihada kuwashawishi wafanyabiasha wawili wakubwa mkoani humo ambao watauziwa sukari ya Serikali kwa bei nafuu.

Lawrence amesema uamuzi huo unalenga sukari hiyo inunuliwe yote ili iweze kusambazwa kwa wananchi kwa bei nafuu.

Ofisa huyo ambaye hakuwa tayari kuwataja majina wafanyabiashara hao, amesema uuzaji wa sukari hiyo unatokana na wafanyabiashara wengi kuisusia kutokana na bei ya jumla ya mfuko kuwa kubwa, hivyo kuwafanya wapate hasara.

“Tunaamini kwa utaratibu huu wananchi watapata sukari kwa bei nafuu kabisa,” amesema.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post