» » Anna Mghwira Kuhubiri Injili Siasa Basi tena

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

HATIMAYE Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia Injili huku akiwa bado mwanasiasa.

Mgwira kuitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia Injili,ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja

annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.

annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. Asanteni.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post