Mtu mmoja ambaye hakufahamika kwa haraka amejirusha mwenyewe kwenye Roli lililo kuwa likitembea kwa kasi katika Barabara ya Morogoro Road maeneo ya Kimara Baruti na kukanyagwa na Roli hilo na kupelekea kufariki Dunia huku akiwa kasagika utumbo upo nje na kichwa kimesagika sagika...
Haikufahamika kilicho msibu ni nini mpaka Marehemu akaamua kuchukua uamuzi huu wa kujirusha kwenye Roli hilo...
video ya Tukio..
Angalia Video ya Tukio..

