ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Watu wawili wanaripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na 40 kujeruhiwa
wakati wa maandamano yenye ghasia kwenye mji mkuu wa Afrika Kusini
Pretoria.
Maandamano hayo ni ya kupinga hatua ya chama tawala nchini humo cha
African National Congress (ANC) ya kumteua mgombea wa kiti cha umeya
mwezi Agosti.
Uporaji kwenye maduka yakiwemo yale yanayomilikiwa na wahamiaji,
umeendelea siku nzima licha ya kuwa wa kiwango cha chini ikilinganishwa
na hapo jana na Jumatatu
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO