» » Watanzania wana hatari ya kupata kiharusi kuliko Waingereza

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mwenyekiti wa Muungano wa Magonjwa yasiyoambukiza (TANCDA), Dk Tatizo Waane (kushoto) 
Utafiti wa Steps umeonyesha kuwa Watanzania wana hatari mara sita zaidi ya raia wa Uingereza kupata ugonjwa wa  kiharusi.

Magonjwa mengine ni kisukari, saratani na unene kupita kiwango.

Mwenyekiti wa Muungano wa Magonjwa yasiyoambukiza (TANCDA), Dk Tatizo Waane amesema jana kuwa utafiti huo ulilenga kuangalia ukubwa wa tatizo la magonjwa yasiyoambukiza.

Akielezea athari za magonjwa yasiyoambukiza duniani, Makamu Mwenyekiti wa TANCDA, Profesa Andrew Swai amesema zaidi ya vifo milioni 56 vinavyotokea kila mwaka husababishwa na magonjwa hayo ikilinganishwa na vifo milioni 38 vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza.

Dk Swai amesema nchini kuna mengi yanayotakiwa kufanyika kupunguza magonjwa yasiyoambukiza na athari zake.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post