» » Wanaume ambao watafanya uasherati kufungwa Cameroon

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Wanaume ambao hushiriki uasherati watafungwa jela, chini ya sheria mpya ambayo inajadiliwa na bunge la Cameroon.

Mswada huo ambao ulipata uungwaji mkono wa chama cha Rais Paul Biya, unatarajiwa kuidhinishwa.

Kwa sasa wanawake wanaweza kufungwa jela kwa kati ya miezi miwili na sita kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa.

Wakosoaji wanasema kuwa sheria hiyo itairudisha nyuma Cameroon, na kusababisha watu wengi kufungwa.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post