» » Wahamiaji 79 raia wa Ethiopia wakamatwa wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Wahamiaji 79 raia wa Ethiopia wamekamatwa katika kitongoji cha Kitame kata ya Makurunge wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambapo taarifa za kukamatwa kwa wahamaji hao zimetolewa na wananchi kwa maafisa wahamiaji ikiwa ni mpango wa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Bagamoyo Al Hajji Majid Mwanga amesema hatua hiyo ya kukamatwa kwa wahamiaji hao ni matokeo ya utoaji wa taarifa njema za wananchi ambapo June 2 mwaka huu walikamatwa tena wahamiaji wengine 58.
SOURCE:ITV
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post