» » Vitamin Music ya Belle 9 nayo kuja na wasanii wake

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Msanii wa R&B Bongo, Belle 9 amesema mambo yakiwa sawa ndani ya kampuni yake ya Vitamin Music kila kitu kitawekwa wazi ikiwa ni pamoja na kuanza kuwachukua wasanii wengine.
Belle99
Wasanii wengi wameonekana kupata nguvu ya kuanza kuwa na lebo za kuwasimamia wasanii wengine kama Ommy Dimpoz (PKP), Diamond (WCB), The Industry ya Nahreel na nyingine.
Akiongea na Times FM, Belle 9 alisema, “Tumeanza rasmi mwaka jana lakini kwa sasa nipo mimi pekee, tunapenda kufanya mambo yakiwa tayari ndiyo tuyaweke wazi.”
“Kwa sasa tupo kwenye mchakato wa kuiboresha kwanza na baada ya muda kidogo tutatangaza wasanii watakao kuwa chini ya Vitamin Music,” aliongeza.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post