ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Kwa wakazi wa Dar na mikoa ya pwani mtakubaliana na mimi kua mziki aina
ya kisingeli kwa sasa unakubalika sana. Kwa mfano ukikatiza mitaa mingi
ya Dar lazma utakuta sehemu au ndani ya bodaboda au bajaji wakipiga
singeli.
Japo haupigwi sana katika vituo vingi vya radio ila watu wengi waukubali
sana. Siku chache zilizopita msanii Diamond Platnumz aliandaa party
nyumbani kwake ya kumkaribisha msanii mwenzake Rich Mavoko katika Label
ya WCB. Na katika party hiyo Diamond alionekana akicheza kwa furaha
mziki aina ya kisingeli kama ambavyo utaona katika video hii hapa
chini....
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO