» » UFUNGUZI EURO 16, UFARANSA TUMBO JOTO LEO

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza kutimu vumbi leo huko nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo ukichezwa katika dimba la Stade de France Mjini Paris.
Jumla ya 24 zitashiriki michuano hii na ikiwa ni mara ya kuweza kushirikisha idadi ya timu hizo hapo awali ni timu 16 tu ndizo zilikua zinacheza michuano hii.
Viwanja kumi vikitumika kumsaka bingwa mpya wa ulaya,mabingwa watetezi wa mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe Mwaka 2012.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post