Viungo
wa Tukuyu Stars ya Mbeya, Stephen Mussa (sasa marehemu, kulia) na
Sekilojo Chambua (kushoto) wakipata chakula cha jioni nyumbani kwa
kiongozi wao, Manzese, Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Daraja la
Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa
(sasa Uhuru), Dar es Salaam mwaka 1992. Baada ya msimu huo, Stephen
alihamia Yanga mwaka 1993 na Chambua akafuatia mwaka 1994
