» » Sheria ya ajira kwa watoto kupelekwa bungeni

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO



Serikali ya Tanzania imesema kuwa ipo mbioni kuleta sheria ambayo itasaidia katika kutokomeza tatizo la ajira kwa watoto katika maeneo mengi nchini.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Manajementi ya Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki ametoa kauli hiyo akijibu swali Bungeni lililouzwa katika kurekebisha mapungufu ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambapo ameeleza kuwa kwa sasa serikali inaandaa mkakati wa kuchukua maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kurejeshwa bungeni.

Aidha, akizungumzia suala la watoto waliopo katika ajira za utotoni, Mhe. Angella amesema kumekuwepo na mkakati wa utoaji wa elimu kwa wazazi pamoja na kuwawezesha zaidi ya watoto 102,000 Zanzibar kwenda shule kupitia Mfuko wa TASAF.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post