Entebbe. Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema amechagua wapinzani kwenye baraza lake la mawaziri kwa sababu ya kuimarisha umoja wa kisiasa nchini humo.
Alisema katika baraza lake ambalo lina mawaziri 81, ameona ni bora ateue na wapinzani ili kuimarisha umoja ambao umetoweka nchini humo kwa muda mrefu.
Kiongozi huyo wa Uganda, alimchagua Beti Kamya kuwa Waziri wa Kampala kutoka Uganda Federal Alliance pia alimchagua Betty Amongi wa Uganda Peoples Congress kuwa Waziri wa Ardhi na Florence Nakiwala wa Democratic Party kuwa Waziri wa Vijana.