ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Mkazi wa Kijiji cha Buhama wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza, anadaiwa
kumuua mumewe, Ndimila Lupogosha kutokana na wivu wa mapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema jana kuwa tukio
hilo lilitokea Juni 15 saa 8:20 mchana wakati mtuhumiwa na mumewe,
wakinywa pombe.
Alisema chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi baada ya mtuhumiwa kumuona mumewe akizungumza na mwanamke mwingine.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO