ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Watumishi 11 mkoani wa idara ya afya mkoani Mbeya wamesimamishwa kazi
baada ya kukutwa na kosa la kughushi vyeti vya kidato cha nne hilo
limefanyika baada ya zoezi la kuhakikisha vyeti kwa kushirikiana na
baraza la mitihani NECTA ikiwa ni mwitikio wa agizo alilotoa rais John
Magufuli.
Amesema waliwakilisha vyeti vingi NECTA na hivyo 11 ndio vikabainika vilikuwa vya kughushi ambao karibia wote ni wanawake
Tazama Hapa:
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO