» » Maajabu Tanga! Mti wa Muembe Wabadilika Usiku na Kuwa na Sura ya Mwalimu Nyerere na Mama Maria Nyerere

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mti wa ajabu aina ya Muembe umewavuta mamia ya wakazi wa Tengamano Jijini Tanga kuushuhudia ambapo inadaiwa kuwa mwembe huo ikifika majira ya jioni hubadilika na kuwa na taswira ya mwalimu Nyerere kwa upande mmoja na Mama Maria Nyerere kwa upande wa pili.




Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016. "Ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza, hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu mwembe, ni kama mtu alijaribu kuuchonga"
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post