» » Ligi Daraja la kwanza msimu wa 2016/2017 kuanza Agosti

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO



Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetangaza makundi matatu ya timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza msimu wa 2016/2017. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Agosti, mwaka huu mara baada ya kukamilisha mchakato wa usajili unaoanza Juni 15, 2016.
TFF-LOGO
Makundi hayo yenye timu nane (8) kwa kila moja, yamegawanywa kwa alama ’A’, ‘B’ na ‘C’.
Kundi A lina timu za:
1 Abajalo ya Dar es Salaam
2 African Sports ya Tanga
3 Ashanti United ya Dar es Salaam
4 Kiluvya United ya Pwani
5 Friends Rangers ya Dar es Salaam
6 Lipuli ya Iringa
7 Mshikamano FC ya Dar es Salaam
8 Polisi Dar ya Dar es Salaam
Kundi B
1 JKT Mlale ya Ruvuma
2 Coastal Union ya Tanga
3 Kimondo FC ya Mbeya
4 Kinondoni Municipal Council ya Dar es Salaam
5 Kurugenzi ya Iringa
6 Mbeya Warriors ya Mbeya
7 Njombe Mji ya Njombe
8 Polisi Morogoro ya Morogoro
Kundi C
1 Alliance Schools ya Mwanza
2 Mgambo Shooting ya Tanga
3 Mvuvumwa FC ya Kigoma
4 Panone FC ya Kilimanjaro
5 Polisi Dodoma ya Dodoma
6 Polisi Mara ya Mara
7 Rhino Rangers ya Tabora
8 Singida United ya Singida
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post