» » LEO KATIKA HISTORIA: MATUKIO MANNE YALIYOJIRI JUNE 7 ENZI HIZO

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Picha hii ni ya mwaka 1973-Yanga ilicheza na Aston Villa mabingwa wa Ulaya mwaka 1981-1982 kutoka England. Yanga walikuwa wa kwanza kupata bao na Aston Villa wakasawazisha dakika za lala salama

Kuna matukio mengi sana yakukumbukwa kila siku kwenye ulimwengu wa michezo na hii nikutokna na rekodi na matukio mbalimbali yaliyopita siku za nyuma na kugeuka historia.

Kwa upande wa soka, leo June 7, 2016 kuna matukio kadhaa makubwa ya kukumbukwa ambayo yalitokea siku kama ya leo miaka mingi iliyopita na kuacha alama kwenye medani ya soka la Bongo.

shaffihdauda.co.tz inakusogeza karibu na matukio manne ya kukumbukwa kwenye anga la soka hapa nchini ambayo yalijiri tarehe na mwezi kama wa leo katika miaka minne tofauti.

1965: Yanga ya Dar es Salaam yaifunga Sunderland nayo ya D’Salaam  (1-0)

1989: Waziri Charles Kisanji auvunja uongozi wa chama cha soka nchini-FAT

1998: Simba na Yanga zatoka sare (1-1)

2007: Timu ya soka ya Azam FC inaundwa

2014: Ali Hassan Mwanakatwe, Katibu Mkuu wa zamani wa FAT, alifariki dunia
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post