» » Kubenea Athibitisha Umiliki wa Kiwanja Alichokataa Hussein Mwinyi, Ataka Ajiuzulu Kama Alivyoahidi

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mbunge wa Ubungo Said Kubenea ameonyesha nakala zinazothibitisha umiliki wa kiwanja alichokataa waziri wa ulinzi Hussein Mwinyi na ametaka mbunge huyo kujiuzulu.

Amesema kiwanja hicho alikitaja bungeni na Dk. Mwinyi akadai madai yake yote ni ya uwongo mtupu na kukiwa hata na chembe ya ukweli atajiuzulu na sasa amemtaka ajiuzulu kweli kama alivyoahidi.

Mbunge huyo pia amesema ameapanga kumshitaki naibu spika kwenye kamati ya maadili kwa madai kuwa anatumia kanuni za bunge isivyo kikanuni

 Angalia Video: 

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post