ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Mwanariadha Genzebe Dibaba
Kocha wa wanawake wanaokimbia mita 1500, msomali Jama Aden ambaye ni
kocha wa mkimbiaji Nyota wa Ethiopia Genzebe Dibaba ametiwa nguvuni na
vikosi vinavyofanya msako dhidi ya wanaotumia dawa za kusisimua misuli
michezoni.
Jama Aden amekamatwa baada ya Polisi kuvamia chumba chake cha Hotel huko
Sabadell, Kasikazini mwa Barcelona,Spain wakidai kuwa amekuwa
akiwaelekeza wachezaji kutumia madawa yaliyozuiliwa michezoni.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO