» » JE ULIIJUA HIII ------- AFANYIWA UPASUAJI MARA 25 ILI KUONDOA TATUU ZILIZOKO USONI KWAKE

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Kijana mmoja ambae alikuwa kiongozi wa Wahuni nchini ujerumani alifanyiwa operation mara 25 usoni kwake ili kufuta tattoo zilizopo usoni mwake.

The former skinhead who underwent 25 surgeries to remove his face tattoosKijana huyo alitumia kiasi cha $ 32,400 (£20,233)Kusafisha sua yake.

Akiongea Bryon Widner alisema "kuwa alipitia maumivu makali sana ili kusafisha sura yake na kuzitoa tattoo hizo. Brydon alitumia miezi 16 na operation zaidi ya 25 ili kuweka sawa sura yake. Na sasa Brydon amesafishika sura na kukaa sawa bila kovu lolote usoni
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post