» » Dk Tulia awakinai Ukawa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Naibu Spika, Dk Tulia Ackson 

Dodoma. Naibu Spika, Dk Tulia Ackson leo ameonekana kuchoka kitendo cha wabunge wa Ukawa kususia vikao vyake na kuwataka watoke haraka bungeni kama hawahitaji kuendelea na kikao.

Dk Tulia amesema hayo wakati wabunge hao walipoanza kutoka bungeni baada ya dua.

Amewataka watoke haraka kwa sababu walikuwa wanachelewesha shughuli za Bunge.

Leo ni siku ya 19 wabunge hao wanasusia vikao hivyo vinavyoendeshwa na Dk Tulia, juzi walitangaza kuvunja uhusiano wa kawaida na wabunge wa CCM jambo ambalo limelaaniwa na wawakilishi hao wa chama tawala
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post