Basi la NBS linalotoka DAR kwenda TABORA limepata ajali mbaya maeneo ya
Gairo, inasemekana kunawatu wamelaliwa na Basi hilo na mpaka sasa
haijajulikana watu wangapi wamefariki Dunia na waliojeruliwa..
Tunaendelea kufatilia tukio hili kwa ukaribu zaidi na tutakujuza mdua sio mrefu kila kitakacho jili..
Tunaendelea kufatilia tukio hili kwa ukaribu zaidi na tutakujuza mdua sio mrefu kila kitakacho jili..