» » Barcelona wathibitisha kuondoka kwa Dani Alves

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO



Beki wa kulia wa Brazil Dani Alves anaondoka katika klabu ya Barcelona, kulingana na klabu hiyo.
34DA4B4000000578-3621713-image-m-9_1464869178027
Alves mwenye umri wa miaka 33 alijiunga na Seveilla mwaka 2008 na kushinda mataji 3 ya ligi ya vilabu bingwa pamoja na mataji sita ya La Liga na Barcelona.
Mkurugenzi wa Barca Robert Fernandez aliambia mtandao wa twitter wa kiabu hiyo : Dani Alves ameamua kuondoka.
”Ni uamuzi wa kibinafsi ambao tunauheshimu”.
Alves pia alishinda kombe la Copa del Rey mara nne na Braca ambao walishinda taji la ligi na kombe msimu huu.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post