» » Atiwa mbaroni kwa tuhuma za 'kumchinja' dada yake

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mponjoli Rodson Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita

Mkazi huyo anatuhumiwa kufanya mauaji hayo kwa kumkata kata kwa kitu chenye ncha kali na kutenganisha kichwa na kiwiliwili chake na kisha kutoweka na kichwa chake June 8 saa nne za usiku kabla ya kichwa hicho kupatikana juzi na watuhumiwa tayari wanashikiliwa na polisi.

Kamanda Mponjoli Rodson amefafanua kuwa kichwa cha marehemu Kweji kilipatikana juzi kikiwa kimetelekezwa huku akitoa rai kwa jamii kuacha vitendo vya kujichukulia sheria mikononi.

Mponjoli Rodson Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita anazungumzia tukio hilo la kikatili wa aina yake, Msikilize hapa:-
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post