» » » Anna Makinda Akumbukwa kwa Hekima zake Bungeni...Tulia Akson Asababisha Mgawanyiko Mkubwa Bungeni

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Kambi rasmi ya upinzani bungeni sasa inauona utawala wa Spika wa Bunge la 10, Anne Makinda kuwa ulikuwa na hekima ya uongozi kwa kumaliza tofauti na wabunge bila kushindana.

“Makinda alikuwa akiona mmeenda kinyume tu anawaandikia kimemo, mbunge mmoja mmoja akiwataka mkutane ofisini kwake na kumaliza. Hakukuwa na mwanya wa kushindana tofauti na Dk Tulia,” amesema Kaimu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, David Silinde.

 Amesema kukosekana kwa Spika Job Ndugai ambaye amekuwa bungeni kwa muda mrefu kumesababisha mgawanyiko kati ya wabunge wa upinzani na wa chama tawala.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post