Mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Mtoto wa kiungo wa timu ya Arsenal, Enzo Carzola ameonekana kufuata nyayo za baba yake Santi Carzola kwa kipaji cha kucheza mpira. Enzo ana umri wa miaka mitano lakini kipaji anachokionyesha ni cha hali ya juu na ameanzA kutabiriwa kuja kuwa staa mkubwa kwenye soka hapo baadaYe.
Tazama video hapa chini Enzo akionyesha uwezo wake wa kupiga chenga.