ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele.
Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa
mtindo kama wa wasanii wa kundi la zamani la hip hop. Kris Kros.
“Sometimes you have to believe in yourself and do what you want, uwezi
kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo #wivu
#aftricanboy,” ameandika Jux kwenye moja ya picha alizoweka Instagram.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO