Huyu dogo alishinda tuzo ya "Airtel Talent"(?) pale Nairobi Kenya na
baadae akapata offer ya ku-record wimbo na Akon,kabla ya hapo alikuwa
ameimba na Mr Blue
Kwa sasa "single" yake aliyomshirikisha Akon imetoka,ni wimbo mzuri,hakika umemvusha dogo toka hatua moja kwenda nyingine.Wimbo mzuri na unasikiliza,"Dont Go Away" ndio habari ya town kwa sasa Usikilize Hapa chini: