» » » Dudu Baya: Sijawahi Kutumia Madawa ya Kulevya wala Bangi

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Dudu Baya amefunguka kwa kusema kuwa katika maisha yake ya muziki hajawai tumia Madawa ya kulevya, kuvuta sigara wala kunywa bia.
Rapa huyo ameiambia Bongo5 kuwa yeye ameeputa kutumia madawa ya kulevya kwa kuwa amekuwa akiishi na watu ambao wameathirika.
“Mimi sivuti sigara, sinywi bia wala situmii Madawa ya kulevya na sijawai kushawishika,” alisema Dudu. Mimi ni mnywaji wa bapa (Konyagi), lakini sio vinywaji vingine,”
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post