» »Unlabelled » Utaratibu umetukwamisha kuhamia Dodoma – Waziri

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Dar es Salaam. Utaratibu uliowekwa na Serikali wa kuhamia Dodoma unatajwa kuwa sababu ya Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Charles Tizeba kusitisha safari kama alivyokuwa ameahidi awali.

Julai 26, Dk Tizeba alitangaza kuhamia mkoani  Dodoma wiki iliyofuata (mwanzoni mwa Agosti), kuunga mkono agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hakutekeleza kauli yake.

Dk Tizeba alisema jana kwamba ofisi za wizara hiyo hazijahamia Dodoma kwa kuwa kuna utaratibu umewekwa na Serikali. Alisema kauli yake aliitoa kabla ya utaratibu huo kuwekwa.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post