» »Unlabelled » Mourinho aeleza sababu ya Rooney kugeuka mbogo kwenye benchi dhidi ya Cristal Palace

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Thursday, December 15, 2016

Kocha wa klabu ya soka ya Manchester United, Jose Mourinho amefunguka sababu ya Wayne Rooney kufoka wakati alipokuwa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani dakika ya 80 wakati wa mechi yao ya ligi kuu ya Uingereza Jumatano hii dhidi ya Cristal Palace.

Mourinho amesema mshambuliaji huyo alikuwa akilaamu maamuzi ya refa Craig Pawson kuwa nyima penalti ya wazi. “He was angry with a possible penalty,” amesema Mourinho. “He was complaining with the referee, he was complaining with the fourth official too.”

Kwenye mechi hiyo Man United ilifanikiwa kushinda magoli 2-1, magoli United yalifungwa na Pogba dakika ya 45 na Ibrahimovic 88 huku goli la Palace likifungwa na Mc Arthur dakika ya 66.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post