» »Unlabelled » Mimi suala la kutokuwa nominees kwenye tuzo za nje nalichukulia kawaida tu – Joh Makini

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Tuesday, December 13, 2016

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Weusi, Joh Makini amewataka mashabiki wa muziki wa hip hop kuendelea kusubiria mambo mabubwa kutoka kwa wasanii wao huku akidai wasanii wa hip hop kutokuwa nominees kwenye tuzo za nje haimaanishi kwamba hawafanyi vitu bora.

 Joh Makini amedai wasanii wa hip hop muda wao bado lakini wanafanya kazi nzuri ambazo zinapendwa mpaka nje ya mipaka.

“Mimi suala la kutokuwa nominees kwenye tuzo za nje nalichukulia kawaida tu,” alisema Joh. “Kwasababu kutokuwa nominees au kuwa nominees haijalishi kwamba wewe huwezi kufanya kitu unachokifanya kwa ubora,” alisema Joh Makini.

Pia rapper huyo amesema mwaka 2016 ulikuwa mzuri kwake kutokana na kufanya kazi nyingi ambazo zimefanya vizuri kitaifa na kimataifa.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post