Kwanza unachukua baking soda ile ya simba mbili yenye kiboski cha blue na red vijiko vya chai viwili maji ya ndimu kijiko kimoja au zaidi changanya mchanganyiko mzito utia kwenye mswaki nakutumia kama dawa ya meno. Tumia mara moja usiku au asubuhi for one week. Ili kuona Maendeleo ni vizr ukafanya Uphotographer kdg ukajipiga Picha za Before & After itakuwa vema zaid kujua maendeleo yako
Note: Make sure ni baking soda na sio ile iliyoandikwa ama kuchorwa maandazi simba mbili
ANGALIA VIDEO HII..