» »Unlabelled » Viwango vya nauli za ndege vyatangazwa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO



Baada ya kumalizika kwa ofa iliyokuwa imetangazwa na shirika la ndege Tanzania (ATCL), Nauli halisi zitakuwa kama ifuatavyo;-



  • Dar es Salaam – Mwanza kwenda ni shilingi 160,000 hivyo kwenda na kurudi ni shilingi 320,000.

  • Dar es Salaam – Kigoma kwenda ni shilingi 395,000 hivyo kwenda na kurudi ni shilingi 610,000.

  • Dar es Salaam – Arusha kwenda ni shilingi 180,000 hivyo kwenda na kurudi 360,000.

  • Arusha – Zanzibar kwenda ni shilingi 249,000.

  • Zanzibar – Dar es Salaam ni shilingi 123, 000.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post