» »Unlabelled » Uwanja wa Uhuru Dar wabadailishiwa mipira, Simba kuufungua kesho

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Tokeo la picha la uwanja wa huru darSerikali imeanza ukarabati wa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam hasa katika ile sehemu ya kuchezea kwa kuondoa mipira inayochanganywa na nyasi na kuweka mipya.

Timu zililalamika kwamba mipira hiyo ilikuwa kikwazo na chanzo cha kuumia wachezaji wake kwa kuwa haukutumika kwa muda mrefu.

Lakini kuanzia mapema, tayari kazi ya kuweka mipira mipya ndani ya nyazi imeanza na Simba itakuwa ya kwanza kuutumia ikivaa Kagera Sugar.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post