Toni Kroos asaini mkataba mpya Real Madrid Unknown Friday, 14 October 2016 0 No comments ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani, Toni Kroos ameongeza mkataba mrefu ambao utaisha mwaka 2022 akiwa bado na Real Madrid. Toni ana umri wa miaka 26, hadi miaka saba ijayo, atakuwa anakwenda kustaafu soka au anaondoka kwenye soka la ushindani. ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO Share !