» »Unlabelled » Saida Karoli: Nilitumiwa, ukiona ninapoishi utasikitika

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Saida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani ni nyoka anayetaka kumng’ata.

Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na bado anaishi katika mazingira magumu.

“Niliumizwa kuanzia mwanzo, ni vitu vichache nilivyovipata, kama mkibahatika waandishi wa habari wenye makamera na wakija kwangu watashuti kulingana na nilivyo, wataona mazingira ninayoishi ndipo watanzania watazidi kufunguka zaidi,” Saida alimwambia mtangazaji wa Jembe FM, Natty E.

Kwa sasa Saida Karoli anaishi jijini Mwanza. Hivi karibuni amerejea tena kwenye midomo ya watu baada ya Diamond kurudia wimbo wake Salome.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post