Watu zaidi ya bilioni mbili wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya Zika.
Watu zaidi ya bilioni mbili wapo katika hatari ya kupata maambukizi kutokana na mlipuko wa virusi vya Zika katika sehemu ya bara la Afrika na Asia.
Idadi kubwa ya watu katika mataifa ya India, Indonesia na Nigeria ipo hatarini zaidi kupatwa na maambukizi ya Zika, wanasayansi wameeleza.
Hata hivyo, wanasayansi hao wamesema uwezekano wa kuwepo kwa kinga ya mwilini kwa watu waliokuwapo katika baadhi ya maeneo, kutapunguza hatari ya maambukizi ya Zika.