» »Unlabelled » Shilole akosolewa kwa kuweka picha inayoonesha mapaja Instagram

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Shilole amesababisha mchanganyiko wa hisia kutoka kwa mashabiki wake wanaomfuata kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kuweka picha yenye utata.

Picha hiyo aliyoipiga akiwa kwenye chumba cha hoteli, inaonesha mapaja yake wazi huku akiwa amefunikwa na taulo katikati ya ikulu yake.

Picha aliyoiweka Shilole kwenye Instagram na kusababisha povu la kutosha Instagram

Hata hivyo kutokana na malalamiko kutoka kwa mashabiki wengi, amelazamika kuifuta picha hiyo.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post