» »Unlabelled » Chris Brown anyimwa visa ya kuingia Japan

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Chris Brown bado anaendelea kukutana na majanga kila kona. Jipya kwa sasa ni kwamba Breezy amenyimwa visa ya kuingia nchini Japan.

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Chris Brown amenyimwa visa ya kuingia nchini huko kutokana na sakata lililotekea nyumbani kwake la kumtishia silaha mwanadada Baylee Curran na kusababisha nyumba yake kuzungukwa na polisi.

Japan imeamua kumzuia Chris asitumbuize katika tamasha lake linalotarajiwa kuanza Septemba 26 hadi 27 jijini Tokyo.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post