msanii mkongwe wa Bongoflevani Afande Sele kukamatwa na Jeshi la Polisi, taarifa hii ikufikie mtu wangu huko Morogoro August 31 2016 taarifa zilisambaa kuwa msanii huyu alikamatwa kwa kosa la kuhamasisha watu kufanya mandamano ya ukuta September mosi.
Jana tulipokea taarifa ya kwamba kulikuwa na watu pale maeneo ya msamvu wakiwa na huyu bwana sele alichokuwa anakifanya yeye ni kuhamasisha hawa watu kuwashauri washiriki kwenye haya maandamano na kuwahidi kuwapa vitu mbalimbali‘