» »Unlabelled » AY: Nataka kuacha kufanyia video Afrika Kusini

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Rapper Ambwene Yessayah aka AY amesema anataka kuacha kufanya video zake nchini Afrika Kusini pamoja na kuanza kutumia waongozaji wengine kabisa.

Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir, Alhamis hii, AY alisema video zinazofanywa Afrika Kusini zimeanza kufanana mno.

Alisema hiyo ni ndio sababu iliyomfanya afanye video tofauti ya wimbo wake El Chapo iliyoongozwa na muongozaji wa Tanzania, Shedipro anayeishi SA.

Hizi ni tweets za alichokisema Jana;



ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post