Bagamoyo. Wanachama wa Kikundi cha Kilimo cha Umwagiliaji wa Miwa na Mpunga cha Kiwangwa (Chuwa), wilayani hapa wamesema halmashauri hiyo itachukua muda mrefu kukua kutokana na watu wachache kuamua kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayoibuliwa na wananchi na wawekezaji.
Walizungumza hayo na waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika kwenye Ofisi ya Kijiji ya Kiwanga.
Mkutano huo uliitishwa na Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Mtumwa Mtoro kujadili sababu zinazokwamisha ujenzi wa kiwanda cha sukari kinachotarajia kujengwa na mwekezaji wa Kampuni ya Eco-Energy.
Mwenyekiti wa Chuwa, Pili Makelele amesema miradi mingi ya maendeleo inayoibuliwa Bagamoyo hukwamishwa na baadhi ya watendaji serikalini kwa sababu zao binafsi.
Makelele.